Breaking

Monday, March 23, 2020

VIDEO: Polisi Yawakamata Waandishi wa Habari Kisa Kumfuatili Mgonjwa wa Corona


Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limekiri kuwakamata Waandishi wa habari watatu waliokwenda katika eneo la hoteli ambayo alilala mgonjwa wa kwanza wa ugonjwa wa Corona Virus.

Baada ya kuachiwa miongoni mwa Mwandishi aliyekuwa eneo hilo amekiri ni kweli alifuatwa na magari mawili ya Polisi nakuambiwa hana kibali cha kufanya hivyo.
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment