Breaking

Thursday, March 12, 2020

Wanaume Tunarogwa Sana na Hawa Wanawake Zetu..Utafiti Waonyesha Ndio Wateja Wakubwa wa Waganga


Katika Uchunguzi Wangu nimegundua Wateja wengi wa waganga wa Kienyeji ni wanawake ,hii inatoka na kuwa ushindani wa namba umekuwa mkubwa sana matokeo yake wakina dada na wakina mama wamemua kutafuta plan B nayo si nyingine ni kutuchawia, tunarogwa sana,  tunalishwa vitu vya ajabu.


Wateja wakubwa wa waganga ni hawa wanawake unadhani wanafuata nini huko kwa Waganga?


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment