Breaking

Thursday, March 12, 2020

Wanaume wa Dar Mnaongoza Kuvunja Mahusiano yetu Sisi Tulio Mikoani

Jamani wanaume mliopo Dar es salaam tunaomba mtuhurumie sisi tulio mikoani, kwani ukiwa na mpenzi wako akikuaga anaenda Dar kusoma au kwa ndugu yake na akikaa angalau mwaka mmoja ujue akirudi sio wako tena mambo yanabadilika kabisa ..Maringo mengi na dharau juuu

Nashindwa kuelewa sijui mnawapa kitu gani wapenzi wetu wakija huko dar?


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment