Wema ameongeza kuwa, ukiona amemchukia kweli mtu, basi ujue kuna kitu kikubwa kamfanyia -
Kwa upande mwingine inaelezwa hadi sasa Wema na Kajala haziivi kabisa, Kutokana na kauli ya Wema Sepetu basi inaonekana kuna kitu kikubwa sana alimfanyia ambacho hawezi kusamehe
Kipindi cha nyuma walipokuwa marafiki Wema Sepetu alisha muokoa Kajala na kifungo cha miaka 7 jela kwa kumlipia faini ya Tsh 13milioni.
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
No comments:
Post a Comment