Breaking

Tuesday, March 10, 2020

Wewe Mwanadada Ikiwa Unataka Kuolewa Haraka Fanya Yafuatayo

Wewe Mwanadada Ikiwa Unataka Kuolewa Haraka Fanya Yafuatayo
Wadada wengi wa Mjini Wengi wamekuwa na dhana kuwa ukionyesha maungo ya mwili kwa kuvaa vinguo vifupi basi wataolewa haraka lakini kumbe wanajidanganya na kuishiwa kumegwa na kutupwa kule

Mie nawaambia Hivi Ukitaka kupata mchumba wa maana basi fanya yafuatayo:

Vaa nguo ndefu kuvuka magoti, zisiwe transparent, kifua kisiwe wazi, viatu flat, kucha na kichwa visiwe na manjonjo mengi, usiwe mwongeaji ovyo, epuka unywaji pombe, unnecessary outing, ukali usio wa lazima, nidhamu kwa wote, upole, bila kusahau usafi na ibada.

Ukiyafanya hayo yote hata kama umejificha uvunguni utaonekana tu!

Unabisha?


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment