Breaking

Sunday, March 22, 2020

Young Killer afunguka kuhusu penzi lake ya Wolper “Napenda mwanamke mwenye pesa umri sio tatizo” (Video)


Msanii wa muziki wa Hip Hop, Young Killer Msodoki amefunguka kwa mara kwanza kuzungumzia mahusiano yake na mapenzi wa muigizaji Wolper baada ya hivi karibu wawili hao kujionyesha kwa mara ya kwanza kupitia mtandao wa Instagram. Msodoki amedai anapenda mwanamke mpambanaji na mwenye pesa huku akidai suala la umri kwake sio inshu kubwa kwa kuwa wanapendana.


VIDEO:

                        

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment