Breaking

Monday, March 23, 2020

Z Anto Afunguka "Binti Kiziwi Tangu Atoke Gerezani China Hawezi Kulala"


HATUNA HISIA ZA KIMAPENZI, TUNASAIDIANA.. "Binti Kiziwi tangu atoke gerezani hawezi kulala kutokana na aina ya maisha aliyokuwa akiishi huko jela, hadi akae sawa itachukua muda na tangu tumekutana hatuko katika hisia za kimapenzi ila tunasaidiana kimaisha tu" Ameyasema hayo Z ANTO.

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment