Breaking

Thursday, March 12, 2020

Zari Hassan Afichua UMRI Wake....Kumbe Bado Kipusa Toto Bikra Kabisa

Zari Hassan  amekuwa akipokea shutuma kwamba ameficha umri wake na kwamba amekuwa akidanganya kuhusu  miaka yake halisi .

Zari hajakuwa akiwajibu wale wambao wametlia shaka ukweli wake kuhusu umri wake halisi  akisema yungali hajatimu umri wa miaka 40 .   mpenzi huyo wa zamani wa Diamond Platnumz na mama ya watoto watano  ndio sasa anakaribia umri wa miaka 40 kwani kwa sasa ana umri wa miaka 39.

Amefichua hilo katika ujumbe wa picha aliopiga kiwa nchini Uganda  kwa kuandika;

“What 39 going 40 looks like.”

Wengi wamekuwa wakisema kwamba huenda Zari  ana umri wa juu kuliko muonekano wake .  Katika tukio moja  picha za  pasipoti  yake zilivuja mtandaoni na kuonyesha kwamba  alikuwa ameshatimu umri wa miaka 40  na alikuwa akidanganya kuhusu miaka yake .

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment