Breaking

Monday, March 30, 2020

Zitto Ataka Bunge, Mahakama Kusitishwa Kujikinga Dhidi Ya Corona


Waitara na Zitto Kabwe Moto Unawaka Bungeni, Pilipili imetiwa ...Kiongozi mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe ametaka vikao vya bunge la bajeti kuhairishwa kwa muda mpaka mwenzi Mei ili kuzuia ueneaji wa virusi vya Corona vinavyosabaisha ugonjwa wa Covid9

Zitto ametoa ujumbe huo kwenye barua yake alimuandiia rias wa jamhuri ya muungano ww Tanznaia ikiwa ni sehu myanushauri kwa serikali juu ya ugonjwa huo uliua zadia ya watu 19,000 dunia kote

“Nimeuomba Mheshimiwa rais kwa heshima kubwa kabisa haua zichukuliwa kusimaisha vikao vyote vya serikali mahakama na kadhalika bunge linaweza kukutana mwezi Mei tukiondokana na janga hili tukajadili bajeti ya serikali kwa mwezi mmoja tukamaliza naomba kusisitisha jambo hili tusitoe picha mbaya kwa watoto tuliowarusha nyumbani,lakini wanatuona wazazi wao tukiendela na mikusanyiko  nimeomba mheshimiwa rais yeye kama mkuu wa nchi akionekana hajali picha inayotoka kwa nchi ni kwamba ugomjwa huu ni poa tu” amesema Zitto 

Aidha Zitto amesema kuwa anafahamu kuwa wananchi wengi wa Tanzania ni lazima waaamke asubih ili wanendele kupata chakula cha kila siku lakini ameshauri wakati kama huu shuguli hizi za kawaida zisimamishwe kwa muda ili kuzia ugonjwa huu kuenea zaidi

 HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment