Breaking

Saturday, April 11, 2020

Ali Kiba Anyoosha Maelezo Kuhusu Viewers WAKE Youtube Kupungua..."Ni Kwa Sababu ya Msongamano"

Hit maker wa wimbo wa Dodo, Alikiba Jana kupitia kipindi Cha Friday Night Live aliwajibu wale waliokua wanahoji ni kwasababu gani YouTube viewers walionekana kupungua badala ya Kuongezeka.

Kiba anasema Ni kwamba tatizo hilo huwa linamtokea kwasababu Watu wengi huwa na hamu ya kusikia wimbo wake mpya na pindi anapoachia Watu wengi huwa wanakuwa active kwa muda mmoja kuuangalia hivyo inatengeneza Msongamano mkubwa katika channel yake na kusababisha Hali hiyo kutokea.


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment