Breaking

Saturday, April 18, 2020

Baraka The Prince Kafunguka "Hutokaa Usikie COLLABO Yangu na Ruby Tena Mpaka Mwisho wa Dunia"


Ni msanii kutokea Bongo Flevani Barakahtheprince ambae time hii amemjibu shabiki kuwa hatokuja kufanya collabo na msanii mwenzake aitwae Ruby

Jibu hilo lilikuwa baada ya Shabiki kumuomba msanii huyo kufanya wimbo na Ruby
.
Baraka akamjibu 'Naheshimu sana mawazo yako shabiki yangu ila hutokaa uje tena kusikia adi mwisho wa dunia Collabo hiyo🙏". Comment hii haikuchukua hata lisaa limoja Baraka aliamua kuiondoa yaani kuifuta

Hapo awali rekodi zinasema wawili hao walishawahi kufanya wimbo wa pamoja mwaka 2016 na ilikuwa moja collabo kali ya wimbo ulioitwa Nivumilie

Je ukiwa kama shabiki wa muziki nini cha kuwaambia wawili hao andika hapa.

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment