Breaking

Thursday, April 23, 2020

Ben Pol Amuonjesha Depay Utamu wa Bongo Fleva, Aongea Naye Instalive na Kuahidi Kufanya nae Collabo

Mkali wa R&B @iambenpol alivyopiga stori na aliyewahi kuwa mchezaji wa klabu ya Manchester United @memphisdepay


Wakati maongezi yanaendelea walipata nafasi kila mmoja kumsikilizishia mwenzake ngoma zake na mmoja ya ngoma ambayo Ben Pol alimsikilizishia na muziki ambayo Ben Pol alishirikishwa na Darasa.

Depay ameisifia sana ngoma hii na kwenye maongezi huenda ikatokea Collabo ya @iambenpol na Depay maana ameahidi kuanzia jana amekuwa shabiki rasmi wa muziki wa Ben Pol
Mbali na hilo Depay ameelezea jinsi walivyokutana na Ben Pol ambapo amesema kuwa kwa mara ya kwanza walikutana DUBAI


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment