Breaking

Sunday, April 19, 2020

Bilionea Mo Dewji Atumia Siku ya leo Kuomba Msamaha kwa Aliowakosea

Bilionea maarufu nchini Tanzania, Mohammed Dewji ametumia siku ya leo Jumamosi Aprili 18, 2020 kuomba mshamaha kwa watu ambao amewakosea kwa kujua au kutokujua.

Msamaha huo ameuomba kupitia ukurasa wake wa Instagramu akisema leo ndio Jumamosi ya mwisho kabla ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

“Napenda kuchukua nafasi hii kuomba msamaha kwa yeyote ambaye nimemkosea kwa kujua ama kutokujua. Namuomba M/Mungu akubali dua zetu, anatujaalie tuweze kuufikia Mwezi Mtukufu wa Ramadhan tukiwa na afya njema, Ameen”


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
Leo ndio Jumamosi ya mwisho kabla ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Napenda kuchukua nafasi hii kuomba msamaha kwa yeyote ambaye nimemkosea kwa kujua ama kutokujua. Namuomba M/Mungu akubali dua zetu, anatujaalie tuweze kuufikia Mwezi Mtukufu wa Ramadhan tukiwa na afya njema, Ameen 🙏🏽
319 people are talking about this

No comments:

Post a Comment