Breaking

Wednesday, April 1, 2020

BREAKING: Wagonjwa wa Corona Nchini Kenya Wafika 81

Waziri wa Afya nchini Kenya Mutahi Kagwe, amesema kuwa idadi ya waathirika wa Virusi vya Corona nchini humo imeongezeka na kufikia 81, baada ya wagonjwa wengine wapya 22 kuthibitishwa leo Aprili 1, 2020

Mutahi Kagwe amesema kwamba wagonjwa 13 ni wanaume na tisa ni wanawake. Wagonjwa hao wanashirikisha Wakenya 18, raia 2 wa Pakistan na raia 2 wa Cameroon.


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE 

No comments:

Post a Comment