Breaking

Wednesday, April 15, 2020

Diva Loveness Asemekana Kusimamishwa Kazi Clouds FM Kisa Kumlipua Ali Kiba Kuhusu Kutoka Nae Kimapenzi

BREAKING NEWS.... Taarifa Zinazo sambaa mitandaoni ni kuwa mtangazaji DIVA Amesimamishwa Kazi Clouds FM Kutokana na Kumlipua Ali Kiba na Kudai Walikuwa wanatoka naye Kimapenzi....

Baadhi ya Comments za Wadau:

 Aondoke fastar katuchosha mpuuzi.huyo na huyo soudy pia nae hafai.clouds fm wajinga wote tupa.kule


 discipline Hana ende wcb


 Mdomo uliponza kichwa


mkuttamalima's profile picture

 Mpaka Diva kupata kazi Clouds alikuwa ameshatimiza zaid ya miaka 24, maana yake aliweza ishi kabla ya kuwa Clouds, sasa cha ajabu nini, kumbe maisha yapo baada ya Clouds. Pia hapo ndio huwa naona maana ya kuwa na kazi yako mwenyewe.

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment