Breaking

Saturday, April 18, 2020

DIVA Loveness "Nililelewa na Mwanamke Ambae Hakuwa Mama Yangu Mzazi..Kila Nilipomuita Mama Alisema Mimi Sio Mama Yako"Diva Loveness Aliyekuwa Mtangazaji wa Clouds FM Ameandika haya Kupitia Ukurasa wake wa Instagram:

"Im in so much Pain and so hurt sababu ya hizi bullying, type za bully za nyumban makazini kwenye mitandao .. this is a hell nooo ... and ima speak out so we both face why i always stand up for me , Jana i did bila kusikiliza yoyote and im so Proud Of Myself sababu ilianza muda sana nikawa nakaa kimya navumilia... like where do i start? nililelewa na mwanamke ambae hakuwa mama yangu mzazi .. kila nilipomuita Mama alisema mimi sio Mama Yako Mama Yako amefariki dunia, mtoto wangu ni huyu na huyu na huyu.. sikuwa na jinsi zaidi ya kunyonya kidole or kula kucha crying myself to sleep ... who does that to a child ?! nimekuwa hivyo mpaka nilipofikia hali ya kujitegemea and nilihakikisha i work hard niwe nakaa mwenyewe , i needed to walk away and save me, do you understand how it feels? kunyanyapaliwa kisa tu mama yako amekufa?! mnajua how it hurts? with that ilibidi nimchukie mama yangu mzazi huko huko kaburini nilimlaumu sana kwa kuniacha peke yangu dealing with people , God knows iv been hurt alot ... alot 😭😭😭 wish to stop crying now but i don kno how ... 😭😭😭😭 sometimes unapigwa kibao .. mistreated just because umemuita mtu mama au sababu tu wewe sio mtoto wake .. do you kno how it hurts? ndio mana huwa nasaidia watoto yatima and love them ndio maana nasaidia hata kidogo kwa wenye uhitaji sababu i undestand how it feels ... As a woman lazima nisimame to whoever wanna thro stones at me or call me names or punish me sababu i stand for myself .. i wil never let anyone bully me sababu either has a name or follwers or mouth to speak i wil never go back to that road again never ever ... so Ima stand up and speak on whoever bully me .. im gon stand for myself , as for my mom nilimsamehe ... she is dead and gone .. labda halikuwa kosa lake kuondoka when i was too young 😭😭😭 nitaendelea" Diva

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment