Breaking

Friday, April 17, 2020

Diva Lovess Afunguka Kuhusu Kufukuzwa Kazi CLOUDS FM " Sijadhalilika Wala Sijaaibika Sehemu..Shit Happens"

Diva Lovess Afunguka Kuhusu Kufukuzwa Kazi CLOUDS FM " Sijadhalilika Sehemu Wala Sijaaibika Sehemu Shit Happens"
Diva Loveness Ameandika Haya:

"Morning .. First thing first Im the realest ... and very strong and Im very Ok , na sifuti comments so feel free and make yoself comfortable ... jus happy with life as usual .. by gones baby ... ishaisha hio ... so lets make this one clear , Sijafukuzwa Kazi this is something personal haihusu kazi haiko katika mkataba wangu wa kazi as well nafikiri mnajua sheria za kazi , but ib off radio mpaka ntapowaambia tena, ib shooting my youtube show then and al be back strong with my youtube content ... gladly got to kno watu wema zaid kwangu .. na wabaya pia it's all good .. sijadhalilika sehemu wala sijaaibika sehemu shit happens .. unajua rangi za watu in life you switch off n move on easily ... y'all go thru things in life kwa wanawake hasa nadhani mnanielewa sana ... sema y'all can hide shit i don hide shit i keep it real ... Pili i said what i said .. my heart is very clean , pure and anaejisikia kuongea aongee anaejisikia ku post apost i dont realy care mimi kiukweli ... Nimemaliza , and thanks for dm, whatsapp ingawa it's off and those with positive n negative comments , i end up things, concur and y'all kno life goes on ... i don do interviews so online tv sory babies ... mi nina kiki tu daily , Im a star .. im not for kiki or for media tour type over this 😇 ... CHAPTER CLOSED , have things to do to focus on have bills to Pay as independent woman nina kazi za biashara yangu @shopatdiva to do .. nawatakia siku njema wapendwa katika bwana , Deuces" Diva

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment