Breaking

Saturday, April 18, 2020

Diva "Nimelelewa na Bibi Sikuwa na Mama, Sijawahi Kuwa Malaya Never on Earth"" Im a woman not just a woman , I'm a woman who went thru shit in my career, i have been very independent , sijawahi kuwa malaya never on earth .. nimejiheshimu sana , nimelelewa na bibi sikuwa na mama , nimejifunza kujilea mwenyewe with my dad help with boss ruge help with shebbah kussaga whoz like a mom to me i live alife atleast put a smile on my face and yes i agree @cloudsfmtz imenilea sana im so thankful

"Boss Ruge kufa ilikuwa pigo kwangu alikuwa my dad ali feel maumivu yangu and he taught me to be sasha fierce , somehow i become better ... Joseph Kussaga is My Dad , he is always taking care of me .. im forever thankful sina ata la kumlipa 😭😭😭, nime deal with alot kwa machungu na furaha sometimes unakuwa hewani unatukanwa matusi mazito na watu sababu tu baadhi ya watu wanawatuma but i always smile while on air mnahisi huwa siuumii? au sina moyo?!

"kila mtu anaumia, umaarufu ni mzigo ... too much pain , against all odds i have been working so hard to feed myself and live my life .. unlike others ilibidi ni stand bullies and alot more, kuwa bullied sucks , damages a mental health but nimeweza ku maintain sana sio rahisi at all ... inaumiza sana sana sana 😭😭 ...

"if wewe ni mwanamke in the entertainment world i hope utaelewa this is not easy at all , y'all witness of the bullying , mnacheka na ku act up but y'all kno this hurts to the ribs ... i have been used, i agree i have been used and im such a fool , I'm going to open up alot today ... alot , nime deal na bullying my entire life i have all rights to defend myself as a woman siwez kukaa tu kukubali nionewe thats a hell no to me ...

"Ni haki Yangu Kabisa kama binadamu na kama mwanamke to stand for me, im not weak , i will never ever be weak or let someone belittle me , im gon stand up for myself no one ataeza stand up for me, wanawake wengi mmepitia this ..

"naandika hii Caption nikiwa na hasira nyingi tena nimejifungia chumbani nalia kwa nguvu sijali mtu anaenitukana or anything i don care but i have to say it all .. al rise up and speak out , im gon tel it all , and al speak out loud, you can't tel me don do this akati im the one goin thru pain, ni lazima niongee it hurts" DIVA


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment