Breaking

Saturday, April 25, 2020

Dk. Ndugulile: Mama mwenye maambukizi ya Corona ruksa kunyonyesha mtotoNaibu waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto, Dk Faustine Ndugulile, amesema mama mwenye maambukizi ya Covid-19 anapaswa kuendelea kunyonyesha mtoto wake.

“Hakuna ushahidi kuwa maziwa yanaambukiza Corona,” aliandika Dk Ndugulile.

“Kuvaa barakoa kipindi chote cha unyonyeshaji, usafi wa mwili kabla ya kunyonyesha na usafi wa matiti na mikono kabla ya kunyonyesha,” aliandika Dk. Ndugulile katika ukurasa wake wa Twitter

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment