Breaking

Wednesday, April 1, 2020

EXCLUSIVE: SHAMSA FORD Afunguka "Nimemblock CHID, Hatuwezi Kurudiana, Aliniliza vya Kutosha Siwezi"

EXCLUSIVE: SHAMSA FORD Afunguka "Nimemblock CHID, Hatuwezi Kurudiana, Aliniliza vya Kutosha Siwezi"

EXCLUSIVE: SHAMSA FORD afunguka "Nimemblock CHID, Hatuwezi kurudiana, Aliniliza vya kutosha siwezi, Ile Post mimi nilitumiwa na watu, nilimuonea huruma baada ya kuona ile post, na nina mpongeza kwa kufunguka na ni fundisho kwa vijana wengine wasipenda kutunza familia, mimi na yeye hatuwezi kurudiana nilipokuwa kwenye ndoa nilimpigania sana lakini ilishindikana kwa mimi haiwezi kutokea tena"

Bonyeza Play kusikiliza zaidi:


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE 

No comments:

Post a Comment