Breaking

Monday, April 20, 2020

Fake man! Tanasha ampiga Diamond Kijembe kwa ‘kujifanya’ anamsapoti Zuchu


Hii ni baada ya Tanasha  kuona Diamond akisema kwamba anamsaidia pakubwa sana msanii mpya wa WCB Zuchu  kupitia posti yake kwenye Instagram.

Diamond  aliandika hivi;

“This is more than love and it proves women can do it if they are empowered…on behalf of Zuchu i would like to thank you all for the love and major support.”

Katika posti nyingine  aliandika ;

“Kupitia wewe na Sapoti ya Wadau na Mashabiki, tukabadilishe mtazamo na fikra potofu na ulimwengu wajue kuwa mwanamke ukimuwezesha anaweza.“
Mama huyo wa mtoto mmoja  alimuita baba ya mtoto wake  kama ‘“waste man”  na “fake”  kwa kujifanya kama mpiganiaji wa maslahi  na haki za  wanawake


Kwake Tanasha haelewi jinsi mtu kama Diamond anaweza kuwa na unafiki wa kujifanya kuwajali wanawake ilhali vitendo vyake  vinakizana na ahadi anazotoa


“It makes me sick to see waste men preaching women empowerment. Fake always gets exposed eventually. Like fake bags, fake jewellery, it will last a couple of days, maybe weeks or months but eventually, everyone can see it is fake,”  Aliandika Tanasha

Tanasha  hapo awali aliwahi kusema kwamba Diamond alimtaka aache taaluma yake ya muziki ili awe mke wa nyumbani.

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment