Breaking

Wednesday, April 22, 2020

Gigy Money “Mimi Nimedharaulika Sana Tena Especially kwa Wanawake Wenzangu Wakati Ninaanza"

“Mi nshaenda kila sehemu. Nimeenda mskitini nimeenda kwa mganga nimeenda kanisani..kuna kulogana sema nishawahi kulogwa kweli na viliniingia na ninajua vinavyofeel" Gigy Money.

“Nilikuwa na ndoto ya kuwa maarufu. Nikiona wale wasichana kama kina Wema enzi hizo ndo anaigiza kina Wolper naona agh mbona kakosea yani najua mi ntapatia, yani pale mi ntalenga yani mimi najiona mimi ninajua. Niko hivyo mpaka kesho, mimi najuaga kuliko mtu yeyote" Gigy Money.

“Mimi nimedharaulika sana tena especially kwa wanawake wenzangu wakati ninaanza" Gigy Money.

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment