Breaking

Tuesday, April 7, 2020

Hichi Hapa Kiapo cha Diamond Platnumz Kutomwacha Tanasha Dona "Sikucheat Hata Iweje"


Ni majuma kadhaa sasa na mengi yamekuwa yakifichuliwa kuhusiana na uhusiano wa Diamond na Tanasha baada ya wasanii hao wawili kuweka kikomo katika mahusiano yao.

Tanasha amekuwa akisimulia madhila aliyopitia wakati alipokuwa na uhusiano na msanii huyo na hata kukiri kuwa familia ya Diamond haikumtaka kamwe katika boma hilo lao.

Licha ya Diamond kumwakikishia kuwa atasalia kumpenda katika mojawapo ya jumbe hizo,mambno haya kuenda jinsi alivyokuwa anatarajia Tanasha kwani siku chache tu jamaa huyo alianza kutamba na msichana mwengine na ambaye alimshirikisha katika video ya wimbo wake wa Jeje.

Kwa sasa Tanasha yuko nchini Kenya na alitangaza wazim kuwa hana haraka yoyote ya kupata mpenzi mwengine.

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment