Breaking

Sunday, April 12, 2020

Idris Sultan Amedata KWELI Atoa Pole Kwa Familia ya Nandy Kumkubali Billnass Aoe Mtoto Wao...


Mchekeshaji maarufu hapa nchini Idris Sultan, ametoa pole kwa familia ya msanii Faustina Mfinanga "Nandy" kufuatia tukio la kuvalishwa pete ya uchumba na msanii mwenzake Billnass.

Tukio la Billnass  kumvalisha pete ya uchumba Nandy limekuwa gumzo mitandaoni, ambapo mchekeshaji Idris Sultan ametumia mtandao wa Twitter kutoa pole hizo kwa kuandika,

"Ningependa kutoa pole zangu za dhati kwa familia ya Bi Faustina Mfinanga "Nandy", pia ningependa kuiambia familia ya Bwana William Nicholaus Lyimo "Billnass" kuwa hiyo namba ya mganga niombe mara ngapi sasa" ameandika Idris Sultan
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment