Aliyekuwa Mtangazaji wa Wasafi media @jonijooo ameondoka katika kituo hicho na kukaribishwa #EFM na mkurugenzi wa kituo hicho @majizzo
Ujumbe wa Majizo ukiambatana na Video umesomeka hivi:-“@jonijooo : Unasema mitaa imekulea, Naomba Nikukaribishe kwetu Waswahili Tuliotumwa na mtaa. Natambua uwezo wako, njoo Tulisongeshe.Mimi #CEO wa Waswahili nikupe tu taarifa kwamba Hatuna Shughuli ndogo. Kuanzia leo @efmtanzania na @tvetanzania ndio familia yako. Karibu sana.”
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
No comments:
Post a Comment