Breaking

Friday, April 24, 2020

Kauli ya RICH Mavoko Alivyotoka WCB Yamtafuna Mwenyewe "Nimeondoka WCB Wasafi Kwa Kuwekwa Muda Mrefu Bila Kutoa Nyimbo"

Tujadiri Hili Kidogo. Tukiachana na Hiyo Kauli Yake Aliosema:- "Nimeondoka WCB Wasafi Kwa Kuwekwa Muda Mrefu Bila Ya Kutoa Nyimbo, Wanyonyaji, Wanathamini Muda Wao Tu"

Toka Rich Mavoko ametoka WCB Mwendo wake wa kutoa nyimbo umekuwa mdogo sana unaambiwa ni afadhali alipokuwa WCB angalau alikuwa anatoa Nyimbo

Wewe Kama Shabiki wa Bongofleva Hapa Tanzania, Unadhani @richmavoko Anautendea Haki Mziki wa Bongofleva/Mashabiki Zake Kukaa Muda Mtefu Tangu Januari.

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment