Breaking

Tuesday, April 21, 2020

Killy "Mama Yangu Alikuwa Hafurahishwi Mimi Kuwa Kings Music


“Mama yangu alikuwa hafurahishwi na mimi kuwa Kings Music kwa sababu ya masuala ya kazi na maisha, na mama yangu mimi na mama yake Cheed huwa wanazungumza na ni marafiki” Killy amefunguka

Baadhi ya Comments za Wadau Huko Mitandaoni

Josbor Sylves Sylves Wako kama wadangaji akija geto akikuta limejaa vitu anaomba ndoa ukimuoa ana beba vitu vya geto anarudi kwao anakwambia Mimi na wewe basi asee

Tatu Mashaka Usisahau ulikotoka usijepotea unakokwenda

Ally Lupembe Killy umemponza chidi wewe ndo unaonekana kidomodomo shankupe mdangajitu

Siku John Basi uyo mama yako ana matatizo makubwa kuliko shida ulizonazo wewe.

Meddy Classic Rajabu Killy usipate mwiko ukadharau kijiko

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment