Breaking

Saturday, April 18, 2020

Kutana na Jamaa Mla Chura..Adai Wana Protini Nyingi na Pia Uongeza Ujasiri Kwenye Sita Kwa Sita

Jamaa huyo wa Nigeria kwa jina la Baptist Amah amejitosa kula chura hadharani, anasema chura ana protini nyingi pia hutibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume pamoja na magonjwa mengine.


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment