Breaking

Saturday, April 18, 2020

Kutoka Kenya Aliyekuwa Mpenzi wa Msanii Diamond Platinumz Yamkuta Makubwa Kisa Corona


Kutoka Kenya aliyekuwa mpenzi wa msanii Diamond Platinumz ambaye ni mkenya anayejulikana kwa jina la Tanasha Dona yamkuta mazito

Tanasha Donna amewekwa kwenye karantini ya lazima baada ya kukaidi amri ya kutotoka nje na kuenda kujivinjari.

Tansha alipost video katika mtandao wakijamii akisherehekea siku ya kuzaliwaa ya Tim Matiba ijumaa.

Tanasha sasa atajifunza funzo lake kwa kukaa katika karantini kwa muda wa siku kumi na nne.

Pia atashtakiwa kwa kuvunja sheria za virusi vya corona.

Nini maoni yako

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment