Breaking

Saturday, April 18, 2020

Lema Amuambia Waziri Ummy Kufungia Mikoa Mitatu na Kumbi za Starehe Kuzuia Corona Kuenea

Lema Amuambia Waziri Ummy Kufungia Mikoa Mitatu na Kumbi za Starehe Kuzuia Corona Kuenea

Mbunge wa Arusha mjini (Chadema), Godbless Lema,  amemuambia Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kufunga Dar es Salaam, Arusha, Mwanza haraka.

Lema amesema waziri afunge baa na kumbi za starehe nchi nzima na mikoa mingine ichukue tahadhari kubwa ikiwa ni kuzuia mikusanyiko,” aliandika Lema katika ukurasa wake wa Twitter.

Mbunge huyo amesema watu wote wakae ndani ili kujikinga na ugonjwa wa Corona.

“Ni rahisi kutafuta mahindi ya msaada kuliko roho ya msaada,” aliandika Lema

@umwalimu Funga Dar es salaam Arusha,Mwanza haraka sana,funga baa na kumbi za starehe Nchi nzima,Mikoa mingine ichukue tahadhari kubwa ikiwa ni kuzuia mikusanyiko popote pale watu wote wakae ndani.Chakula je ?Ni rahisi kutafuta mahindi ya msaada kuliko roho ya msaada
22 people are talking about this

No comments:

Post a Comment