Breaking

Thursday, April 23, 2020

Martha Mwaipaja Afunguka UKWELI Mchungu "Nilitengana na Mume Wangu Miaka Miwili iliopita"


Msanii wa nyimbo za injili nchini Tanzania Martha Mwaipaja amethibitisha ripoti kuwa alitengana na mumewe miaka miwili iliyopita kwa sababu ya kusalitiwa.

Akiwa katika mahojiano alikuwa na haya ya kusema;

“I SEPARATED WITH MY HUSBAND LIKE TWO YEARS AGO. I AM NOT THERE TO TRY, I HAVE ALREADY DECIDED AND PEOPLE CANNOT BE TOGETHER IF THEY DON’T UNDERSTAND EACH OTHER. MANY MARRIED PEOPLE NOWDAYS ARE JUST LIVING AND NOT UNDERSTANDING EACH OTHER. YOU WILL LATER FIND YOURSELF GIVING BIRTH TO KIDS WHO DON’T HAVE GRACE.” Alieleza Martha.

Alipoulizwa kama ilikuwa tu kutengana ama talaka, alisema kuwa wameishi na mumewe kwa muda mrefu “na unapoona unaenda kuanguka kwa shimo ni bora tu ujiondoe mapema”.

Wawili hao walibarikiwa na mtoto mmoja ambaye amekuwa jukumu la Martha tangu watengane na mumewe.

“I HAVE A CHILD WHOM I TAKE CARE OF. I WAS THE ONE WHO GOT MYSELF IN AND ALSO GOT MYSELF OUT. ANYONE WHO KNOWS THAT PERSON WILL CLAP FOR ME BUT WHOEVER DOESN’T KNOW HIM WILL POINT FINGERS AT ME.”

Martha alimshukuru Mungu kwa kumuokoa kutokana na kifo na hata usaliti wa mumewe huku akisema mumewe alikuwa mhuburi na kanisa ambazo alikuwa nazo zimefungwa na kusema kama si Mungu angekuwa tayari kaburini.

Kuna nyimbo zake mbili ambazo alisema alitoa akiwa katika hali mbaya hakuwa na mbele wala nyuma, nyimbo hizo ni ‘Nifundishe kunyamaza’ na ‘naiona kesho’

“A TIME REACHES WHERE YOU WISH YOU COULD DIE OR GET LOST BUT WHEN THOSE WORDS CAME TO ME, I WAS FILLED WITH GRACE. IF YOU SEE ME CRYING, KNOW THAT GOD HAS FOUGHT FOR ME. A MESSAGE TO WOMEN, IF YOU SEE YOUR KNOWLEDGE HAS COME TO AN END, DON’T FORCE IT, YOU ARE CALLING DEATH AND DON’T GET OUT AND GO AWAY FROM GOD. I ENCOURAGE PEOPLE THROUGH MY SONGS AND I KNOW WHAT PAIN IS.” Alieleza.

 Radio Jambo Kenya

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment