Breaking

Friday, April 3, 2020

Mboso atimiza ndoto yake, awanunulia gari wazazi wake

Baada ya kuwajengea nyumba wazazi wake, msanii wa bongo fleva Mbosso amewanunulia gari akitaja kuwa anatimiza sehemu ya ndoto yake kwa wazazi.

Msanii huyo amebainisha hayo kupitia akaunti yake ya instagram na kuandika maneno haya;

"Mwenyezi Mungu atutimizie ndoto zetu Vijana wote tunaopambana Kwa ajili ya Wazazi wetu na Kesho Yetu Pia " Inshaallah ..
"Comment "Amini Inshaallah" kama unaamini Kuna siku utatimiza ndoto yako yakuwapatia zawadi Yoyote Wazazi wako " 


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE 

No comments:

Post a Comment