Breaking

Thursday, April 23, 2020

Mchungaji Mama Rwakatale azikwa kanisani kwake Mikocheni B


Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro na Kiongozi wa Kanisa la Mikocheni B Assembly of God (Mlima wa Moto), Mama Getrude Rwakatare leo amepumzishwa kwenye nyumba yake ya milele katika Kanisa lake lililopo Mikocheni B.

Waombolezaji walioudhulia ni wachache wakiwemo wawakilishi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na baadhi ya ndungu kuepuka msongamano kutokana na kusambaa kwa maambukizi ya Virusi vya Corona.

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment