Breaking

Friday, April 17, 2020

Mdee: Waziri wa Afya Anapambana kwa Uwezo Wake katika Corona Tunajua amezidiwa

Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee, amesema Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu,  anapambana na ugonjwa wa Corona kwa uwezo wake inajulikana amezidiwa.

Mdee amesema ni wakati mwafaka kwa Rais John Magufuli kuonyesha uongozi ajifunze kwa majirani zake wanachofanya.

Kiongozi huyo aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa Twitter kuwa ” Wanachofanya ni 1. Testing 2. Lockdown maeneo yaliyoathirika 3. Stimulus package kuhami uvhumi wetu amka!!!,”.

Mdee aliandika ujumbe huu ” Covid 19 is deadly and serious @ umwalimu unapambana kwa uwezo wako kama Waziri tunajua umezidiwa. Ni wakati mwafaka kwa @Magufuli kuonyesha uongozi jifunze  majirani zake wanachofanya 1. Testing 2. Lockdown maeneo yaliyoathirika 3. Stimulus package kuhami uvhumi wetu amka!!!,”

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

Covid 19 IS DEADLY and SERIOUS@umwalimu unapambana kwa uwezo wako kama WAZIRI(Tunajua UMEZIDIWA). NI wakati MWAFAKA kwa @MagufuliJP kuonyesha UONGOZI jifunze MAJIRANI zako wanachofanya 1.Testing 2. Lockdown(maeneo yaliyoathirika) 3. Stimulus Package kuhami UCHUMI wetu! Amka !!!
147 people are talking about this

No comments:

Post a Comment