Breaking

Saturday, April 25, 2020

Mjengo wa Kifahari Aliouacha Mama Rwakatare


Huu ni moja ya mjengo wa kifahari aliokuwa akimili Askofu wa Kanisa la Mlima wa Moto Getrude Rwakatare ambaye alifariki Jumatatu ya April 20, 2020, mjengo huo upo Mbezi beach Dar es Salaam.

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment