Breaking

Sunday, April 26, 2020

Mrembo Sanchword Mwenye UMBO la Kuvunja Chaga Abadili Dini Sasa Kuitwa Surraiya


Mrembo maarufu mtandaoni Sanchword amebadili dini na kuwa muislam rasmi na kuitwa Surraiya Evarist Rimoy. Sanchi binti wa kichaga mwenye shepu matata amekuwa akifunga ramadhani wakati bado hajaingia kwenye uislam.

 ALHAMDULLILAH moyo wangu una amani kupita nitakavyoweza kuelezea na ALLAH shahidi 😭 It’s official my spirit is where it truly belongs... Najivunia kufanya shahada yangu jana.. 24/04 Call me SURRAIYA EVARIST RIMOY.

Nimekua nikifunga Ramadan tatu mfululizo just because i love Islam but this one is very special, this is my first Ramadan as a Muslimah 🙏🏽🙏🏽 Alhamdullilah kwa hili na mengine mazuri yajayo INSHA’ALLAH.
Nawatakieni waislamu wote mfungo mwema wa mwezi mtukufu.
Wabillahi Taufiq Walhidayah, Wassalamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh. 🤲🏽❤️
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment