Breaking

Wednesday, April 15, 2020

Mrembo wa Kenya Azziad Anaye Trend Tik Tok Akana Habari ya Kukataa Kazi Wasafi.....

Azziad Nasenya msichana aliyeibua gumzo mitandaoni yapata wiki moja iliyopoita,sasa ameibuka tena na kutupilia mbali taarifa zilizokuwa zinaenera katikamitandao ya kijamii kuwa amekataa ofa ya kufanya kazi na kituo cha runinga kinachomilikiwa na mdsanii Diamond.

Tulikuwepo na taarifa zilizochapishwa katika mitandao tofauti zikidaio kuwa ,Nasenya alitupilia mbali ofa hiyo kwa kile alisema Diamond ni mwanamume anayepende tu wanawake,taarifa ambazo kwa sasa kichuna huyo amejitokeza na kusema kuwa ni za uongo na kila kitu amewachia mawakili wake.


Hii ni taarifa ya uongo,kila kitu nimewachia mawakili wangu washughulikie,aliandika Azziad


Baadhi ya watu wanaomfuatilia Azziad kupitia mitandao yake ya kijamii ,walimsihi kuchukua fursa hiyo nadra japo awe usemi wa kulinda maadili yake binafsi.

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment