Mwimbaji Ibraah kutokea lebo ya Kondegaing inayoongozwa na Harmonize amezungumza na kueleza alivyosota kwa kipindi kirefu baada ya kuishia Darasa la saba huku wazazi wake wakikosa uwezo wa kumuendeleza kielimu.
Ibraah amefunguka mengi ikiwemo la yeye kufanya kazi ya ufundi seremala ili ajipatie ridhiki. Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama akifunguka zaidi
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE
Tuesday, April 21, 2020
Msanii wa Harmonize kasimulia msoto aliopitia “Nimeishia la saba”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment