Breaking

Sunday, April 26, 2020

Mwijaku Kwa Mara ya Kwanza Umwagia SIFA Diamond Platnumz "Unamapungufu Mengi ila Kwa Hili Nakupa 5"

Kutoka Kwenye Ukurasa wa Instagramu Ya Mwijaku Ameandika;- "#NAM-#PROUD #Tanzania ..! Kiukweli unakuawaga na mapungufu yako ya kibinaadamu ila linapo kuja swala la majanga hua unajua kuzitafuta thawabu mzee mwenzangu . Kwenye kuwalipia watu wasio jiweza kodi za nyumba na kama utalifanya bila RIHA diamondplatnumz unaenda kugusa mioyoo ya wahitaji na ramadhaani hiii kama nakuona tutakavo pishana peponi .
.
.
Hongera kwa mama yako @mama_dangote kwa mawazo mazuri alio kupa kwenye hili ,ila nakuasa wachague wale wenye uhitaji tuu (wanasema nyuma ya mwanaume mwenye mawazo mazuri basi kuna mwanamke ambaye ni mama yako )
.
.
Kwani #CoronaVision-Ni wakati wa kusaliti hofu yako,kuachana na mashaka,kujihusisha na Imani thabiti na kufunga pingu za maisha na ndoto zako.
.
.
Ukiona bado ungali na Afya na amani jua Mungu bado ana kusudi na wewe katika kufanikisha ndoto zako, sifa na utukufu tumuachie yeye .
.
.
#AskMwijaku
#Hatukufundishi"
-
Nini Maoni Yako Kuhusu Swala Hili Tafadhari.


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment