Breaking

Monday, April 13, 2020

Q Boy Msafi Hali ni Mbaya..Aomba Msaada Kwa Diamond..MADAWA ya Kulevya, Amefulia Anatamani Kurudi WCB

Aliyekuwa designer wa Diamond Q Boy Msafi amefunguka kwa uchungu na kusema alikuwa na hali mbaya baada ya kuumwa na kurudi kwao, pia ameeleza kwa uchungu kumuomba Diamond amsaidie.

VIDEO:


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment