Breaking

Tuesday, April 7, 2020

Rotimi Afunguka "Mimi na Vanessa MDEE Sio wa Kuachana Leo Ama Kesho"


Rotimi anasema yeye na Vanessa Mdee sio wa kuachana leo wala kesho. Aidha, Vanessa nae amesema -

“Ninaishi maisha mazuri na ninaenjoy sana, nimeyapata mapenzi mazuri nina furaha, kwa hiyo kwa sasa nimeamua kupumzika muziki na kujipa muda na mpenzi wangu kufurahia maisha, muda wa kufanya kazi ukifika nitarudi na mtaona nikifanya hivyo,” amesema Vanessa.
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment