Breaking

Monday, April 27, 2020

Sakata la Madam Rita Kutotoa Zawadi ya Mshindi wa BSS Latua Bungeni, Mwakyembe Amtaka Aheshimu Mikataba

Waziri mwenye dhamana na sekta ya Sanaa Mh Harrison Mwakyembe amelitolea ufafanuzi zaidi suala la Shindano la Bongo Star Search wakati akihitimisha hoja Bungeni ya makadirio ya mapato na matumizi kwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

“Madame Rita aheshimu mikataba....sisi hatuna tatizo na Bongo Star Search...ametuandikia barua atalimaliza ndani ya mwezi mmoja hatuna shida na sisi tunathamini anachokifanya katika kuendeleza sanaa lakini atekeleze wajibu wake kimkataba”
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment