Breaking

Sunday, April 5, 2020

Sallam SK Afunguka Kuhusu Kugombana na Diamond " Viblog Vimekosa Habari Wanaamua Kuzusha Mambo"


Wiki Hii Kulikuwa na Tetesi za kuwa huenda Meneja wa Diamond Platnumz Sallam SK hafanyi kazi tena na Diamond kutokana na kufuta Maelezo ya WCB kwenye page yake, Jana Sallam SK aka Mendez Ameandika haya kupitia ukurasa wake wa Instagram:

Umewaona wale wanataka kuboost viblog vyao vimekosa habari, sasa wacha tuwape habari njema au unasemaje @diamondplatnumz Wajiandae leo au kesho kwenye Insta Live?
Diamond Platnumz Alimjibu hivi:
Diamondplatnumz: Nakuskiliza Mzee Professour 👓.... We Nipe Su niSusushe!
Romy Jones Akakazia:

Romyjons :SIJUI HATA KWANN UMEPONA
Babutale akamalizia:
Babutale :Mendez sema muda tupasue jipu.

 HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment