Breaking

Sunday, April 26, 2020

Sikuwahi Kudhania Kuna Siku MSICHANA wangu wa Kazi Atanibaka. Nimeumizwa Sana

Siku ya leo imeisha vibaya kwangu. Kitendo ambacho amekifanya msichana wangu wa kazi kimenighafirisha sana.

Huyu dada ninaye hapa ni mwezi wa tatu sasa. Nyumba ninayoishi ina 3 rooms na kimoja ni master.nlimwagiza kwa mtu toka singida.tumeishi naye kipindi chote hicho nlikuwa namwona tu anavyobadilika na kuwa msafi na kujal sana.nlimchukulia kama dada yangu sikuwa na mawazo machafu.

Leo alikuwa anafanya usafi baada ya mimi kupata break fast.alivaa kinguo chepesi na ndani hakuwa na kitu.sikujal mi nikawa busy naangalia movie.bahati mbaya nikapitiwa na usingizi. Nikiwa ndoton nliota mtu ananinyonya sehem yangu....

Nlishtuka usingizin na kumkuta kweli dada ananinyonya huku amepandisha kisketi chake juu. Nlimsukuma mkono haraka na kupandisha bukta. Sikuamin mpaka alipokuja kunishika miguu akilia kuwa nisimpige alipitiwa tu.nmemtandika vibao na kumwambia arudi kwao kesho asub.

Imebidi nimwite cousin wangu aje kulala home na pia nitoe taarifa kwa mjumbe kuhusu suala hilo. Maana sijaelewa mpaka sasa alifikiria nini.zaidi zaidi anasema yeye alipitiwa na shetani na ni sababu she loves me.

Kiukweli huyu dada hajawah ona naleta msichana hapa home.jinsi ambavyo namheshimu na kumjali pengine akajenga hisia hizo.lakini binafsi sijawah kuwaza kama kuna siku ntatembea na dada wa kazi.

Sina amani kabisa na nawaza kwa hili jambo. Nami nawaza sana maana nmekuwa muoga kwa wanawake wa sasa ngekuwa nmeshaoa

Nmeumizwa sana moyoni. Nawaza hii dunia ya magonjwa na leo ndo nmegundua kumbe huyu dada alishawah kuwa barmaid huko singida.ingawa hakunambia hilo.nmegundua tukiwa kwa mjumbe wakati tuna search vitu vyake kwenye bag.maana nlihisi anaweza hata kuniibia vitu.zaidi tumekuta pia ana dawa za kiasili n.k

Nimerudi naye yeye kama yeye bag lake limebaki kwa mjumbe mpaka kesho asubuh atakapoondoka kwenda kwao singida.

Source:GuDume/JF

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment