Breaking

Saturday, April 11, 2020

Tanasha Dona "Nilipoanza Mapenzi na MONDI Nilisahau Kila kitu Mpaka Mzunguko wangu wa Hedhi"

Bado tuko kwenye vichwa vya habari vya mzazi mwenza na Diamond Platnumz aitwae Tanasha ambae kupitia jarida True Love amezungumza mengi kuhusu yeye na Diamond -
"Nilikuwa makini kutoingia kwenye mahusiano na Diamond, kwasababu nilitaka kumjua vizuri, lakini haikuwa hivyo," alisema Tanasha.
Katika mahojiano hayo, Tanasha hakusita kusema kuwa hakupanga kuwa na mtoto kwasababu hakuwa tayari kuitwa mama.
Nilishangaa kuambiwa nina mimba, ilitokea kwa sababu sikuwa nikifuatilia mzunguko wangu wa hedhi," alisema.
Tanasha alifunguka mengi huku akifichua kwamba kuna kipindi alitaka kutoa mimba hiyo lakini hakuona sababu ya kutekeleza zoezi hilo.
Nini maoni yako. .


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment