Breaking

Saturday, April 4, 2020

TID azidi kudata na DC Jokate Mwegelo na WemaMkongwe wa muziki wa BongoFleva hapa nchini TID amesema msanii wa filamu Wema Sepetu na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe DC Jokate Mwegelo ndiyo warembo watanzania ambao wanajulikana.

Akieleza hilo kupitia show ya East Africa TV, amesema sababu ya kuwataja wawili hao ni uzuri na upekee waliojaliwa nao.

"Nampenda Wema Sepetu ana uzuri wa kipekee, yeye na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe DC Jokate Mwegelo ndiyo ma-miss wa Tanzania waliobakia na kujulikana" amesema TID 

Aidha TID ameeleza siri yake kuhusu wimbo wake wa Asha, ambao amesema aliuandika wakati alivyoenda jela lakini tangu aingie huko nyuma ya nondo  hajarudi tena na hatoweza kurudi.

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment