Breaking

Wednesday, April 1, 2020

Toto Saafi! Angalia MREMBO Aliyewahi kuwa Mpenzi wa Diamond, Mrembo Kuruka

Model wa Rwanda Shadyboo ambaye wakati mmoja alidaiwa kuwahi kuwa mpenzi wa Diamond Platinumz bila shaka ni toto lenye urembo wa kipekee. Shady, amekuwa akiziweka picha zake na posti kadhaa katika instagram baada ya kufifia uvumi huo na hajaficha kwamba wakati mmoja alikuwa akimuenzi sana msanii huyo wa Bongo .


Katika msururu wa picha zake za hivi punde alizoweka Insta, Shady alipendeza sana hadi Hamisa Mobetto, mpenzi wa zamani pia wa Diamond akaweka Comment ya kumsifia..tazama


Shadyboo aliandika hivi katika mojawapo ya picha zake  ;

I do not think I’m easy to define. I have a wandering mind.  And I’m not anything that you think I am.”

 Hamisa alijibu chini ya posti hiyo kwa kuandika ;

Beautiful baby❤️❤️🙌🙌

Urembo wa Shadyboo unakufanya unajiuliza ,mbona Simba hajatosheka? au huwezi kumridhisha mwanamume.


HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE 

No comments:

Post a Comment