Breaking

Monday, April 13, 2020

Ujumbe wa Mapenzi wa Nandy kwa Billnass Baada ya Kuvishwa Pete ya Uchumba....

Mwimbaji Nandy amemuandikia ujumbe wa kimapenzi mchumba wake Billnass akimtakia kheri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa.

Nandy amepost ujumbe huo kwenye ukurasa wake wa Instagram ikiwa ni siku chache baada ya kuvishwa Pete ya uchumba na Billnass.


  •  ”Kwanza happy belated birthday mchumba wangu mpenzi!! @billnass Kama nilivyo ikubali hii pete basi nimekubali mazuri na mabaya yako kutoka moyoni hakika wewe ni mwanaume wa maisha yangu you know I LOVE YOU PY ๐Ÿ˜  • ”so……Sina mengi ya kuandika hapa sababu nimeyamaliza yote mbele ya uso wako! Safari ndio kwanza inaanza MUNGU wetu ni mkuu sana alituvusha na hata hili tutavuka salama! Asanteni wote kwa hongera mlizo nipa na kwa kuangalia pia show ya HOMA tuko pamoja more BLESSINGS ๐Ÿ™๐Ÿป Officially William fiancรฉ๐Ÿšจ” – Nandy
HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment