Breaking

Tuesday, April 21, 2020

Uwezi Amini Mtu Wangu Diamond Platnumz Kila Mwezi Analipa Milion 40 Kama Kodi ya Nyumba

Nyota  wa  bongo Diamond Platnumz  anafahamika kwa kazi yake ya usanii na uimbaji wake Diamond ni baba ya watoto wengi kutoka Uganda hadi Kenya.

Staa huyo amekuwa akienea katika mitandao ya kijamii kwa mambo yote mabaya na mazuri hasa kwa kuwatema  wapenzi wake kama hawajaishi naye kwa muda mrefu


Diamond ana jumba kubwa eneo la Mandale, Dar-es-Salaam huku afisi zake za WCB  zikiwa katika jumba hilo ambalo hulipa kodi ya millioni 40.

Mwanamuziki Zuchu ambaye  amesajiliwa na lebo ya WCB amefichua na kusema kuwa msanii huyo huwa analipa kodi ya millioni 40 kila mwezi.

Kwa hivyo  ni kiasi cha  shilingi milioni 1.8  za kenya  kila mwezi.


Zuchu aliwaambia Wasafi Media kuwa;

“MUSIC IS BUSINESS JUST LIKE ANY OTHER. LAST TIME BOSS, (DIAMOND PLATNUMZ) SPOKE AND SAID THAT HE PAYS TSH 40MILLION (KSH 1, 840, 000)
WHAT OTHER KIND OF MONEY DO YOU WANT? THE MONEY YOU CAN GET IN OTHER BUSINESSES, YOU CAN ALSO GET IN MUSIC.” Alizungumza.

Kabla ya kusajiliwa na lebo ya WCB Zuchu amekuwa akifanya kazi   bila kutambulika  kwa miaka minne na kisha kusajiliwa na WCB wiki chache zilizopita. Zuchu ni mwanawe mwimbaji wa Taraab Khadija Kopa

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment