Breaking

Saturday, April 25, 2020

Vijana 21 Wakutwa Wakirekodi VIDEO ya Ngono..Polisi Wawadaka


Vijana 21 nchini Kenya akiwemo raia wa Ujerumani wametiwa mbaroni huko Nakuru nchini Kenya kwa kinachodaiwa ni kufumwa wakijirekodi mapicha ya ngono kwa lengo la kuuza kwa raia wa kigeni.

Vijana hao 8 wa kike na 13 wa kiume walikutwa eneo husika wakiwa nusu uchi na mienendo isiyo na maadili. Kwa mujibu wa taarifa licha ya lockdown ya corona lakini wao takribani wiki mbili wamekuwa eneo hilo wakishuti mapicha hayo ya ngono baada ya kujikusanya kupitia group la whatsapp lililojinasibu kuinua na kukuza vipaji

Baada ta kutiwa mbaroni wamewekwa karantini kwa siku 14 kisha uchunguzi kuendelea ili waweze kuchukuliwa hatua zaidi za kisheria baada ya uchunguzi.

HIZI HABARI ZA HIVI ZINAPATIKANA GODSTAR ONLINE >>BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APP YA GODSTAR ONLINE

No comments:

Post a Comment